> Refarii wa mchezo wa pool Mohamed Bitegeko kutoka Mwanza> (kulia)akiwaesabia wachezaji Harubu Sudy wa Shinyanga na> Ramadhani Ally wa Morogoro katika kuchagua mchezaji> gani aweze kuanza kuchaza wakati wa mashindano ya taifa ya> mchezo huo jana yanayoendelea jijini Arusha na> Kudhaminiwa na bia ya Safari Lager
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia