MGOMBEA URAISI WA CCM AKIWA MONDULI
Wananchi wenye asili ya kimasai wametakiwa kujiathari na watu wanaopita na kudai kuwa wanamashirika ya misaada ya kuwasahidia
Hayo yalisemwa na Mgomba uraisi kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi Dr.Jakaya Mrisho Kikwete wakati alipo kuwa akiongea na wananchi wa jimbo la monduli katika moja ya kampeni yake alizozifanya katika mkoa wa Arusha
Aliwaambia kuwa kumekuwepo na watu ambao wanapita na kuwapiga picha wakidai wanataka wawasahidie wakati hawaendi kufanya hivyo bali wanajinufaisha binafsi
Mgombea huyo pia alisema kuwa serekali imejipanga kuwalipa wamasai ambao waliathirika na ukame uliotokea katika mwaka uliopita .
Alisema japo hawataweza kuwalipa mifugo yao yote iliyokufa bali watajitaidi walipe hata asilimia chache .
0 Comments:
إرسال تعليق
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia