ZIARA YA MGOMBEA URAIS KUPITIA TIKETI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KATIKA JIMBO LA ARUMERU MAGHARIBI

Mgombea ubunge wa jimbo la Arumeru Magharibi Godluck Ole Medeye akiwaomba wananchi wa jimbo hilo kura zao zote za urais wampe Jakaya kikwete.
Mgombea urais akimuombea Godluck Ole medeye kura za kuwa mbunge wa jimbo la Arumeru Magharibi .
Mgombea uraisi wa CCM Dr.Jakaya Mrisho Kikwete akimuombea kura mgombea udiwani wa kata ya Emaoi wilayani Arumeru magaribi mkoani Arusha alipokuwa kwenye moja ya kampeni zake .

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia