MJUE MSANII MDOGO ANAETAMBA ARUSHA R- CHUGA




Dogo Anakwenda Kwa Jina La Abdul Kachaaa

Maskani Ni Atown - Ngarenaro
Dogo ana Umri wa miaka 14 kwa sasa anasoma kidato cha pili katika shule Bishop Kisula secondary sc/School

Ni dogo ambae anatamba na Track yake inakwenda kwa jina la Sijafikia ndani yake kamshirikisha Tob B ikiwa imefanyika pale Motown Rec sijafikia ni track ambayo inafanya vizuri katika Radio Station mbalimbali hapa tanzania - chini ya mkono wa producer Triple

na singo nyingine ilikwenda kwa jina la Nawakumbusha nae ikiwa ifanyika pale Nice Records na track ya tatu ni Ghetto la Mjombaa akiwa ameifanya pale Golden records

Dogo anatarajia kutoka na singo nyingine itakwenda kwa jina la Harakati zaidi ndani ya singo hiyo hapo atakuwepo msanii kutoka katika kundi na Nako 2 Nako

Si mwingine ila ni Buu Nako

Nilpo Muuliza Abdul kachaa swala zima la Shule na Musiki iknakuwaje hapo kuna kusoma kweli?

Alisema “Mimi kama mimi Naheshimu Sana Shule kwa sababu Siwezi Kufanya Musiki Bila ya kuwa na elimu kwa hiyo ili muziki wangu upendwe na ukubalike ni lazima niwe na Elimu”.

Ni Hayo Katika Safu ya Msanii.


About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia