YATIMA WACHANGIWA

Waimbaji wanaojulikana kwa jina la (samsoni )wakiwa wanatumbuiza na nyimbo zao za injili wakati wa harambee za kuchangia watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu zilizokuwa zikifanyika katika uwanja wa Sherk Amri Abeid

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

إرسال تعليق

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia