matukio mbalimbali yakionyesha Mkurugenzi wa taasisi isiokuwa ya kiserikali ya Zaina foundation Zainatuni Njovu akitoa mafunzo ya haki ya kidigitali kwa waandishi wa habari wanawake wa mkoani Kilimanjaro mafunzo yaliyofanyika mjini moshi mkoani Kilimanjaro Baadhi ya wanahabari wakifatilia mada
Tags
MATUKIO HABARI