Ticker

6/recent/ticker-posts

YALIOJIRI KATIKA SHOO YA 20% ILIYOFANYIKA MKOAN ARUSHA KATIKA UKUMBI WA tRIPLE A



20 %akitoa burudani katika shoo iyo iliyoandaliwa na chanel ten

watu balaa palikuwa hapatoshi




vimwana vya FM Academia vikifanya mambozi

Waimbaji wa FM Academia wakifanya vitu vyao




Nyoshi wa FM Academia akibadilishana jambo na mshabiki wake aliyekuwepo kwenye shoo



full mzuka


watu walikuwa wanajiachia balaa

Kikosi kilichokuwa kwenye shoo hiyo ya ikiwa jukwaani kwaajili ya utambulisho



Apo Dj Tas wa Magic Fm akiwa anamtambulisha Mtangazaji mwenzake Jamila Omar kwa wadau wa mkoa wa Arusha waliouthuria shoo hiyo

wati walikuwa wengi balaa


wafanyakazi wa chanel ten wakiburudika




watangazaji wa chanel ten wakiwa na mfanyakazi wa triple A wakiwa wanabadilishana mawazo

Post a Comment

0 Comments