Bwana shamba kutoka kampuni ya mbegu ya SEEDCO Afrey Maziko akiwa anatoa maelezo Kwa baadhi wananchi pamoja na MKUU wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni
waliotembelea jana katika Banda lao lililopo katika maonyesho ya nane nane ya Kanda ya kaskazini yanayofanyika katika viwanja vya nanenane njiro mkoani Arusha(Woinde Shizza)
Tags
HABARI MATUKIO