HATIMAYE chama cha waamuzi wilayani Arusha mkoani Arusha(FRAT) kimefanya uchaguzi wake wa viongozi kwa mujibu wa katiba ya chama hicho huku wanachama wake wakifanikiwa kumchagua Leornad Ngasa kuwa mwenyekiti wa chama hicho akisaidiwa na Abdallah Rajab wake kwa kipindi cha miaka minne ijayo.
Uchaguzi ulifanyika ndani ya uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid pia uliwachagua katibu wa chama hicho,Samwel Mpenzu na katibu msaidizi,Hassan Zan huku nafsi ya mwemka hazina ikienda kwa Godfrey Kihimili.
Nafasi nyingine zilizochaguliwa zilikuwa ni wajuembe watatu wa kamati ya utendaji ya chama hicho ambapo wajumbe waliochaguliwa walikuwa ni Judith Gamba,Benny Isinika na Sudi Abdi.
Wakizungumza mara baada ya uchaguzi huo mmoja wa wajumbe wa kamati ya utendaji waliochaguliwa,Benny Isinika aliwashukuru wajumbe kwa kumchagua huku akihaidi kutoa ushirikiano wa dhati katika chama hicho kwa hali na mali.
"Ninawashukuru wajuembe kwa kura zao lakini nahaidi kutoa ushirikiano wa dhati kw achama changu"alisema Isinika