No title




Wapiganaji kutoka katika vyombo mbalimbali vya habari mkoani Arusha wakiwa wanajadili jambo katika siku ya kilele cha maathimisho ya siku ya ukimwi duniani wa kwanza kushoto ni mpiganaji kutoka radio uhuru Mustafa Leo anayemfuata ni Ramadhani Sywayombe kutoka gazeti la Mtanzania Daima na wakwanza kulia ni mpiga picha wa ITV Abuu Mkongo anayemfuata kulia ni mwandishi wa habari wa radio ya mkoani Arusha Yakubu Simba .

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post