JAKAYA KIKWETE NDANI YA LAITOLI NGORONGORO
Muheshimiwa raisi akiwa anashika Nyayo izo kwa makini ilikuthibitisha kweli ni za watu wa kale waliopita katika kijiji icho cha Laitoli ndani ya hifadhi ya ngorongoro
Raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiwa anaangaliya nyayo izo kwa makini huku akipewa maelekezo na profesa charles Musiba
Mjumbe wa bodi ya ngorongoro Lukas Selelii akiwa na Naibu spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai wakipewa maelekezo na profesa Charles Musiba kuhusiana nyayo izo zza zamadamu wa zamani
Maprofesa wakiwa wanaendelea na kazi ya kuchimbua nyayo za zamadamu
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia