BREAKING NEWS

Sunday, June 12, 2011

TANGAZO LA KIFO



Mrs Simbo Kusirie Mushi wa Machame Nkwarungo anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake mpendea Erika Simbo Mushi kilichotokea katika hospitali ya mkoa wa Arusha ,Mounti meru hospital jumamosi June 11 asubuhi mazishi yatafanyika Jumatano June 15nyumbani kwao Nkwarungo Machame moshi ,habari ziwafikie baba yake mdogo Andrew Kusirie akiwa safarini Dar es salaam,kaka zake Godfrey Biliamu wakiwa nchini Sweeden,Khalifani Kikwete akiwa Dar es salaam,Dr.Aidani Njau wa Agakani hospitali,mjomba wake Andrew Senyaeli Kileo akiwa Mererani Arusha,Ukoo wote Njau ,Kileo,Shangali pamoja na ndugu jamaa na marafiki wowote popote pale walipo.

Bwana Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe Amina,mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi .

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates