Dr. Willibrord Slaa akiongea na wananchi
ikionyesha aliyekuwa mjumbe wa baraza la vijana CCM Mwaluko Kamplasi Ndembenji akiwa anawasalimia wana chadema mara baada ya kurudisha kadi ya chama cha mapinduzi na kujiunga na Chadema
Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo Chadema akihutubia wananchi
mbunge wa jimbo la Arusha mjini akiwahutubia wananchi
picha ikionyesha umati wawatu wengi waliouthuria kwenye mkutano wa chadema leo mkoani Arusha