BREAKING NEWS

Thursday, August 11, 2011

K-VANT YAZINDULIWA YA MILIMITA 200



muonekano wa kinywaji cha K-Vant kikiwa kimepangwa





meneja masoko wa Megatrade Marko Masaka Akizindua kinyaji kipya cha K-VANT



Meneja masoko akielezea kinywaji hicho kwa waandishi

KAMPUNI isiyo ya kiserikali inayo milikiwa na Megatrade Mkoani hapo imekuwa ikionyesha ushirikiano na jamii kwa kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa mitaani,yatima pamoja na wajane ili kuwawezesha kusongesha gurudumu la maisha.

Akizungumza katika ghafla ya kuzindua kinywaji kipya aina ya K-vant chenye kilevi, Meneja mauzo wa kampuni hiyo Marko Masaka alisema kuwa wao wanajitahidi kutoa misaada kwa jamii ikiwa ni njia ya kutangaza biashara zao,hata hivyo pamekuwa na misaada ya kuwafundisha utaalamu wafanyakazi ili wawe na uwezo zaidi.

Alisema kutokana na juhudi za watumishi kampuni hii imekuwa ikipewa tuzo mbalimbali kwa utendaji mzuri ikiwa ni pamoja na kushirikiana na hayo tumekuwa tukijitokeza kudhamini mashindano ya mpira wa miguu kama uliyo fanyika hapa wa Andengenye Cup ukishirikisha zaidi jeshi la Polisi.Mkoa,alisema Marko.

Alisema Marko, malengo ya baadaye ni kuwaajiri watumishi zaidi ya mia (100) kwa msimu huu ikiwa ndiyo njia ya kutoa ajira kwa watanzania, kuwapatia mbinu mbalimbali za ujuzi ikiwa ni njia ya kuleta wataalamu wapya wa kitaanzania bila kutegemea wajuzi wa nje ya nchi.

Hata hivyo alitoa idadi ya wafanyakazi katika kampuni hiyo na zaidi ya mia ikiwa ni pamoja na mikoa yote ya tanzania lakini kwa musimu huu wataarajiri watumisha wengi zaidi kwa uwezo walio upata wa kuzindua kizindua kinywaji hiki cha K-vant kwa kuwezesha kuenea nchi nzima ili kila jamii ifahamu juhudi za watanzania katika kampuni ya Magetrade alisema Meneja huyo.

Marko aliwataka watanzania kuonyesha kushikiano ili kuiwezesha Kampuni hiyo kuendelea kusonga mbele kwa maendeleo ya jamii ilikuweza kutoa fursa za ajira kwao sambamba na kuongeza juhudi za udhamini kwa yatima na vilabu vya michezo, alisema.

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates