BREAKING NEWS

Monday, August 8, 2011

TAMASHA LA SIMBA LAFANA ARUSHA


mshabiki wa timu ya yanga aliyetambulika kwa jina moja la Rama Yanga akiwa amekwedwa na washabiki wa timu yaSimba mara baada ya kuingia kwenye tamasha la simba na nguo zenye rangi ya yanga




mgeni rasmi wa tamasha hilo ambaye ni mkurugenzi wa Tanapa Allan Kijazi akiwa anasalimiana na wachezaji wa timu ya Victors wa Uganda wakati akikagua timu.

Mkurugenzi wa Tanapa Allan Kijazi akiwa na Makamu Mwenyekiti wa timu ya simba Godfrey Nyange walipokuwa wanatambulisha jezi mpya ambayo timu hiyo itaitumia katika msimu wa ligi ujao



mashabiki wa mkoani dar es salaam wa timu ya simba wakiwa wanashangilia mara baada ya timu yao kuingia uwanjani

kaimu mwenyekiti wa timu ya simba aliyevaa tisheti nyekundu Kaburu akiwa amewatembelea mashabiki wa timu ya yanga waliouthuria Tamasha lao wakibadilishana mawazo

Share this:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

 
Back To Top
Copyright © 2014 MOUNT KILI NEWS. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates