MAGARI YAFURIKA BP KUWEKA MAFUTA MARA BAADA YA SHELI ZOTE KUISHA MAFUTA



Askari akiwa anaandika makosa mara baada ya kupima ajali ya watu waliogongana kwenye foleni ya kuingia kwenye sheli ya Bp kupata mafuata

magari nayo usiseme foleni zaidi ya magari 50 yanangoja mafuta BP


Piki piki nazo zipo kwenye foleni ya mafuta




watembea kwa miguu nao walikuwepo wakishangaa foleni

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia