MAADHIMISHO YA SIKU YA MARADHI YA AKILI DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR.
Wauguzi
wakiwa pamoja na Wananchi wakiungana pamoja na vituo mbalimbali vya
afya katika maandamano ya maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya
Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar.
aadhi
ya Watoto wenye maradhi ya akili waliohudhuria katika maadhimisho ya
Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya
miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Watoto
wenye maradhi ya Akili wakionesha mchezo wa kuokota mbatata mbatata
katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge
mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Watoto
wenye maradhi ya Akili wakionesha mchezo wa magunia katika maadhimisho
ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu
ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Mshindi
wa mbio za magunia Salma Khamis Ame kutoka Skuli ya Mwanakwerekwe
akipeleka mkono kusalimiana na mgeni Rasmi katika maadhimisho ya Kilele
cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka
50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Watoto
wenye maradhi ya Akili wakishindana katika mashindano ya kula maandazi
katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge
mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Mshindi
wa mashindano ya kula maandazi Mahad Said Ali akisalimiana na Mgeni
Rasmi Mbunge wa Jimbo la Magomeni Jamal Kassim Ali katika maadhimisho ya
Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu
ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Mbunge
wa Jimbo la Magomeni Jamal Kassim akicheza muziki pamoja na watoto
wenye maradhi ya akili katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya
Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar.
Mkurugenzi
Kinga na Elimu ya Afya Dk,Fadhil Muhammed Abdalla akitoa hotuba ya
makaribisho katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili
Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
Katibu
Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Asha Abdulla Juma akielezea machache
kuhusiana na maradhi ya Akili katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya
Afya ya Akili Duniani Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
Mgeni
Rasmi ambae ni Mbunge wa Jimbo la Magomeni Jamal Kassim Ali akitoa
hotuba katika maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Afya ya Akili Duniani
Kisonge mnara wa kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar.
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia