MAMA WA MITINDO KUONYESHA MITINDO YAKE HUKO DALLAS TEXAS 7- OCT - 2017


Bendera ya Tanzania inaendelea kupepea kwa namna moja ama nyingine kupitia Tasnia ya Mitindo kutoka kwa Designers wetu ambao wamekuwa wakipata fursa ya kuonyesha Mavazi yao kwenye nchi za ugenini. hii ni nyingine tena. Mama wa Mitindo maarufu kama Asya Idarous Khamsin,  Jumamosi ya wiki hii 7,October, 2017 ataonyesha Mitindo yake kwenye event kubwa huko DALLAS TEXAS ambayo imepewa jina la EAST AFRICAN CHAMBERS OF COMMERCE. 

Kwako mdau wa Fashion usikose kumshirikisha ndugu jamaa au rafiki yako ili kuendelea kuikuza Tasnia hii ya Mitindo Tanzania. Asante.

About Woinde Shizza

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 Comments:

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia