Ticker

6/recent/ticker-posts

VIDEO: Warembo wajipanga na shindano la Mrembo Asilia Kunduchi!

Moja kati ya vitu muhimu kwenye Maisha ya Mwanamke ni pamoja na Urembo. Kumbuka kila kilicho na faida hakikosi hasara zake hasa unapo kitumia ndivy sivyo. Tukiangazia hapa Tanzania baadhi ya warembo wamekuwa na Tambia ya kujiharibu yaani kujichubua na kupoteza uhalisia wao. Sasa Shindano la Mrembo Asilia Kunduchi linaletwa kwenu Watanzania kwa lengo la kumpata mrembo aliyeweza kujitunza bila kujiharibu ngozi yake, Nywele zake, Kucha zake nk.

Dhumuni ni kutoa hamasa kwa Wanawake wasikubali kupoteza uhalisia wao. Kama wewe ni mdau wa mitindo na Urembo endelea kusambaza habari hii kwa watu wote asante. Karibu kutazama Shindani 28/10/2017 ndani ya Green Palm Hotel Kunduchi mkabala na Jeshini. Moja kati ya vitu muhimu kwenye Maisha ya Mwanamke ni pamoja na Urembo. Kumbuka kila kilicho na faida hakikosi hasara zake hasa unapo kitumia ndivy sivyo. Tukiangazia hapa Tanzania baadhi ya warembo wamekuwa na Tambia ya kujiharibu yaani kujichubua na kupoteza uhalisia wao. Sasa Shindano la Mrembo Asilia Kunduchi linaletwa kwenu Watanzania kwa lengo la kumpata mrembo aliyeweza kujitunza bila kujiharibu ngozi yake, Nywele zake, Kucha zake nk. Dhumuni ni kutoa hamasa kwa Wanawake wasikubali kupoteza uhalisia wao. Kama wewe ni mdau wa mitindo na Urembo endelea kusambaza habari hii kwa watu wote asante. Karibu kutazama Shindani 28/10/2017 ndani ya Green Palm Hotel Kunduchi mkabala na Jeshini.

Post a Comment

0 Comments