TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA KIGOMA
![]() |
Wasanii Ben Pol na Jux wakiimba pamoja wimbo wao walioshirikiana ‘Nakuchana’ kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma usiku wa kuamkia jumatatu.
|
![]() |
| Aslay akiburudisha wakazi wa Kigoma |
![]() |
Msanii Chege na Nandy wakiimba pamoja wimbo wao walioshirikiana ‘kelele za chura’kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma usiku wa kuamkia jumatatu.
|
![]() |
| Darasa akiburudisha wakazi wa Kigoma |
![]() |
| Wasanii Stamina na Maua sama wakiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma |
![]() |
| Mr blue akipagawisha umati wa wakazi wa kigoma |
![]() |
| Msanii wa Bongo flea Ommy Dimpoz akiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma |
![]() |
| Roma Mkatoliki akiimba kwenye tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma |
![]() |
| Roma mkatoliki akiburudisha umati wa wanakigoma waliojitokeza katika viwanja vya Lake Tanganyika. |
![]() |
| Young D akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo fiesta |











0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia