Waziri
wa Madini Angellah Jasmine Kairuki akila kiapo cha utii mbele ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel
Shonza akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
Jumla ya Mawaziri nane na Manaibu 16 wameapishwa pamoja na Katibu wa
Bunge.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Daniel
Shonza akitia saini katika hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu
jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi
Balozi John Kijazi.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Justus
Nditiye akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar es Salaam.
Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano Mhe. Kangi Lugola
akipokea hati ya kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kula kiapo hicho
leo Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Balozi John Kijazi.
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)
Seleman Said Jafo akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu jijini Dar
es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John
Kijazi.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
katika picha ya pamoja na familia ya Naibu Waziri wa Habari, Utamduni,
Sanaa na Michezo mara baada kumalizika kwa hafla ya kiap oleo Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Picha na Frank Shija - MAELEZO
0 Comments
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia