Katibu
Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga
akizungumza wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini
Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari
Beach. Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari alimsifia Balozi wa Norway
kwakuwa rafiki wa kweli kwa Baraza la Habari la Tanzania.
Rais
wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania Jaji Mstaafu Thomas Mihayo
akizungumza wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini
Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari
Beach.
Bakari
Machumu akiwakilisha Chama Cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari na Jukwaa
la Wahariri wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway nchini
Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari
Beach.
Mshehereshaji wa shughuli hiyo ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Dk.Ayoub Rioba
Wasanii
wa Dar Creators Group wakitumbuiza wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi
wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger
Plaza Bahari Beach,Julai 18,2014.
Meneja wa Rasilimali Watu Baraza la Habari Tanzania Ziada Kilobo
akimsaidia Balozi kufunga kilemba ikiwa sehemu ya zawadi ya vazi la
asili la Kiafrika alilozawadiwa Balozi,kulia ni Meneja Uthibiti na
Viwango Pili Mtambalike wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi wa Norway
nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza
Bahari Beach.
Rais
wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania Ndugu Kajubi Mukajanga
wakiangalia picha ya Balozi ambayo alipewa kama zawadi wakati wa tafrija
hiyo ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn
Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.
Mheshmiwa
Balozi Ingunn Klepsvik akizungumzwa wakati wa tafrija ya kumuaga
iliyoandaliwa na Baraza la Habari Tanzania kwenye Hotel ya Ledger Plaza
Bahari Beach. Balozi pia amesifia Baraza a Habari kwa kukuza weledi na
maadili katika tansnia ya Habari.
Mheshmiwa
Balozi Ingunn Klepsvik akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Baraza la
Habari Tanzania Profesa Ruth Meena wakati wa tafrija ya kumuaga Balozi
huyo Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.
Rais
wa Bodi ya Baraza la Habari Tanzania Jaji Mstaafu Thomas Mihayo
akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya Baraza la Habari Rose Haji wakati wa
tafrija hiyo ya kumuaga Balozi wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn
Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.
Dk.Ayub
Rioba(kulia) akizungumza na Mhariri wa Baraza la Habari Tanzania Hamisi
Mzee wakati wa tafrija hiyo ya kumuaga Balozi wa Norway nchini
Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari
Beach.
Balozi
wa Norway nchini Mheshmiwa Balozi Ingunn Klepsvik akiwa kwenye picha ya
pamoja na Watumishi wa Baraza la Habari,Wahariri na wadau wengine wa
Habari kwenye Hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach.