Mkuu wa Wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,Jowika Kasunga
akifungua Warsha iliyoandaliwa na Mfuko
wa Maendeleo ya Jamii nchini(Tasaf) kwaajili ya Kunusuru Kaya Maskini kwenye
vijiji 27,kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli,Edward Sapunyu na
Meneja Masijala ya Walengwa,Phillipine Mmari.
Meneja Masijala ya Walengwa wa Tasaf,Phillipine Mmari akizungumza
kwenye Warsha ya wadau iliyofanyika
wilayani Monduli mkoa wa Arusha iliyoandaliwa na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii
nchini(Tasaf) kwaajili ya Kunusuru Kaya Maskini kwenye vijiji 27 wilayani humo,kushoto
ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli,Edward Sapunyu na Mkuu wa Wilaya ya
Monduli,Jowika Kasunga.
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli
wakifatilia Warsha hiyo inayokusudia Kunusuru Kaya Maskini kwenye maeneo yao na
kuwaletea wananchi maendeleo.
Madiwani na Watumishi
wa Halmashauri ya Monduli wakisikiliza kwa makini mada juu ya Kunusuru Kaya
Maskini wilayani Monduli.
Mkuu wa Wilaya ya Monduli,Jowika Kasunga(wanne kushoto)akiwa
katika picha ya pamoja na viongozi wa Halmashauri ya Monduli na Tasaf katika
picha ya Pamoja.
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia