Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mathias Chikawe akiwa anafunga mkutano wa wafanyakazi wa mamlaka ya vitambulisho vya taifa uliokuwa unafanyika ndani ya hotel ya snowcrest jiji Arusha
washiriki katika mkutano wa Wafanyakazi wa Mamlaka
ya vitambulisho vya taifa NIda wakiwa wanamsikiliza waziri wa mambo ya ndani ya nchi kwa makini wakati akifunga mkutano wao katika hotel ya snowcrest
waziri akiwa anapena mkono na mkurugenzi mara baada ya kutoa risala ya kufunga mkutano huo
Mkurugenzi wa Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) ,
Dickson Maimu akiwa anatoa shukurani kwa waziri kwa kuja kufunga mkutano wao
washiriki katika mkutano wa Wafanyakazi wa Mamlaka
ya vitambulisho vya taifa NIda wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni
rasmi waziri wa mambo ya nchi Mathias Chikawe nje ya jengo la
hotel ya Snowcrest sehemu ambayo mkutano ulikuwa unafanyika
washiriki wakipongezana mara baada ya waziri kufunga mkutano huo
washiriki wakiwa wanasikiliza kwa makini risala ya mgeni Rasmi