NYUMBA YA ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOANI ARUSHA YANUSURIKA KUCHOMWA MOTO









WANANCHI WA KATA YA BARAA JIJINI ARUSHA WAKIWA KWENYE MKUTANO WA KUJADILI HATUA WATAKAZOMCHUKULIA ASKARI WA JESHI LA POLISI ALIYEJULIKANA KWA MAJINA MESHACK SAMSON  AMBAE NI MKAZI WA KATA HIYO  KUFUATIA KUTUHUMIWA KUKWAMISHA MRADI WA UMEME KUTOWAFIKIA WANANCHI WENGINE KWA KUKATA NGUZO YA UMEME NA KUPELEKEA SHIRIKA LA UMEME MKOANI ARUSHA, TANESCO KUSITISHA MRADAIHUO WAKIOFIA USALAMA WA MAISHA YAO
 DIWANI WA KATA YA BARAA AKIJARIBU KUWATULIZA WANANCHI WAKE WALIOKUWA NA JAZBA KUFUATIA KUTISHIA KWENDA KUCHOMA MOTO NYUMBA YA ASKARI  HUYO
 WANANCHI WA KATA YA BARAA WAKIWA NYUMBANI KWA ASKARI WA JESHI LA POLISI WAKICHUNGUZA KILICHOPELEKEA ASKARI HUYO KUKWAMISHA MRADI WA UMEME HUKU WIKIJARIBU KUZUIWA NA DIWANI WA KATA YA BARAA MHESHIMIWA PAUL LAIZER WASICHOME MOTO NYUMBA YA ASKARI HUYO
NI MOJAWAPO YA NGUZO AMBAZO MTUHUMIWA MESHACK MOSSES ASKARI WA JESHI LA POLISI ANATUHUMIWA KUZIKATA NA KUPELEKE MRADI WA UMEE KUKWAMA







HATA HIVYO JESHI LA POLISI MKOANI ARUSHA CHINI YA KAMANDA WAKE KAMANDA LIBERATUS SABAS IMETHIBITISHA KUFAHAMU KUHUSIANA NA TAARIFA HII AMBAPO KAMANDA LIBERATUS SABAS AMEDAI KUWA TAYARI UCHUNGUZI UNAENDELEA NA UTAKAPOKAMILIKA MTUHUMIWA ATAPANDISHWA KIZIMBANI

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post