Mkurugenzi Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation Akiomba Sala ya Uzinduzi Rasmi wa Foundation
Mshehereshaji wa Shughuli ya uziinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi
Elias Masaki katibu mkuu 'CHAWATA' na pia Mweka Hazina Shirikisho la watu wenye ulemavu akichangia mawazo kuhusiana na jinsi Farida Foundation Inavyofanya kazi zake kwa Jamii
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia maada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Faridas Foundation
Kassim Kibwe Katibu wa "SHIVYAWATA" Temeke na Mwenyekiti wa Albino akichangia maada Iliyokuwa ikiendelea katika uzinduzi wa Faridas foundation
Wageni waalikwa wakifuatilia kwa umakini Uzinduzi wa Faridas Foundation
Afisa Miradi wa Faridas Foundation Bw.Lumanus akijadiliana Jambo Na Mkurugenzi Wa Faridas Foundation Bi Farida A.Sekimonyo
Wasanii walemavu wajulikanao kama Mabaga Fresh waliojitokeza kutumbuiza kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation wakifurahia mada zilizokuwa zinatolewa
Kikundi cha Mabaga Fresh Wakitoa Burudani kwenye uzinduzi wa Faridas Foundation
Mkurugenzi wa Faridas Foundation Akimkabidhi zawadi ya pointer Mshehereshaji wa Shughuli hiyo Bw.Taji Liundi
Afisa Miradi wa Faridas Foundation akikabidhiwa cheti cha Uadilifu na Mkurugenzi wa Foundation hiyo
Mkurugenzi wa Faridas Foundation(kulia) Akiwakabidhi cheti cha Ushirikiano wawakilishi wa Global Publisher |
Mwakilishi wa mtandao wa Dj Sek Blog akipokea Bw.Geofrey Adroph Cheti Kwaniaba ya Mkurugenzi wa mtandao huo
Keki ya maalumu iliyoandaliwa kwa ajili ya uzinduzi wa Faridas Foundation
Mkurugenzi wa Faridas Foundation Bi Farida A,Sekimonyo akimlisha keki mama yake mzazi kwa niaba ya wageni wote walioalikwa kwenye uzinduzi huo
Shampeni ikiandaliwa kufunguliwa |
Shampeni ikiwa imefunguliwa kwa ajili ya uzinduzi Wa Faridas Fondation
Wakigonga glass kiitakia Heri Faridas Foundation
Mshehereshaji wa Uzinduzi wa Faridas Foundation akipiga mnada picha kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Foundation
Mshehereshaji wa Uzinduzi akipiga mnada fulana yenye nembo ya Faridas Foundation kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Foundation
Mmoja ya wageni akichangia Kiasi cha pesa katika mnada wa picha iliyokiuwa ikizungushwa katika ukumbi huo
Burudani ikitolewa ndani ya ukumbi katika kupamba uzinduzi wa Faridas Foundation
Mmoja wa wafanyakazi wa Faridas Foundation akifurahia Burudani zilizokuwa zikitolew ndani ya ukumbi katika uzinduzi Rasmi