Habari Marafiki, Wapenzi na Mashabiki nimeingizwa
kwenye mashindano ya nani mkali Clouds Tv ni mwanamke pekee kwenye
kinyang'anyiro kumtafuta Mwanamuziki bora wa bendi wa
mwaka.
Tafadhali sana nahitaji sana kura zenu ili niweze
kushinda.
Kupiga kura tuma sms andika MKALI 1 kisha tum kwenda 15678 hapo utakua umenisapoti sana mtu wangu wanguvu, love
you all.
Mary Lucos wa Skylight Band.