Wakiwa wanajadili maelezo yaliyotolewa na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa
kiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji
Mkuu mstaafu wa Zanzibar, Hamid Mahamoud Hamid, hao
ni baadhi ya waandishi
wa habari wa Mkoa wa Manyara, wakiwa kwenye kikao jana mjini Babati.
Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar Hamid
Mahmoud Hamid akizungumza juzi mjini Babati na waandishi wa habari wa
Mkoa wa Manyara, juu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga
kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric
Voter Registration (BVR) unatarajia kuanza mwezi Septemba mwaka huu (kushoto) ni Mkurugenzi wa sera na mipango
wa Tume hiyo Eugenia Mpanduji na kulia ni Mkurugenzi wa Mji wa Babati Omary Mkombole.
Mkurugenzi wa Sera na Mipango wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Eugenia Mpanduji akizungumza juzi mjini Babati na waandishi wa habari wa
Mkoa wa Manyara, juu ya maandalizi ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga
kura kwa kutumia teknolojia ya Biometric
Voter Registration (BVR) unatarajia kuanza mwezi Septemba mwaka huu (kulia) ni Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar Hamid
Mahmoud Hamid.picha zote na
Gift Thadey wa libeneke la kaskazini blog
Gift Thadey wa libeneke la kaskazini blog