Mkurugenzi
wa Tan Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye
makao yake makuu jijini Arusha Bw Robert Francis wakati
akifuturisha,hafla iliyofanyika katika studio za redio hiyo zilizopo
Njiro jijiniArusha iliyoudhuriwa na Viongozi wa dini na wadau wengine
Sheikh Mkuu
wa Bakwata mkoa wa Arusha,Shaaban Juma aliyekuwa mgeni rasmi katika
halfa hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya Tan Communication Media
Mbunge wa Arusha Godbless Lema wa pili kutoka kushoto naye alihudhuria halfa hiyo
Mkurugenzi
wa Tan
Communication Media inayo miliki kituo cha Radio 5 chenye makao yake
makuu jijini Arusha Bw Robert Francis akiwa na mbunge wa Arusha mjini
Godbless Lema
David Lwekiza Rwenyagira ambaye pia ni mtangazaji wa
kituo hicho ndiye aliyekuwa MC
Mchekeshaji
kutoka nchini kenya Peter Sankale maarufu kama "Olexander
Jospat"katika igizo la VIOJA MAHAKAMANI akitoa burudani baada ya Futari
Mkurugenzi akitoa nenowananchi walioshiriki futari hiyo Wageni waalikwa walitembelea studio wagemi wakiendel;ea kupakua futari
Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa Arusha, Isaack Joseph akikaribishwa na mkurugenzi wa kituo hicho Robert
Francis
Mkurugenzi wa kituo
cha Redio 5 Robert Francis akisalimiana na mke wa Mbunge wa Arusha
Wafanyakazi wa Redio 5
PICHA ZOTE KWA HISANI YA woindeshizza blog