Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiungana na viongozi wa madhehebu mbalimbali wa
dini ya Kiislamu katika furari aliyowaandalia kulu jijini Dar es
salaam jioni ya Julai
Sehemu
ya waliohudhuria katika futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
kwa viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini
Dar es salaam jioni
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,
Sheikh Alhadi Mussa Salum (aliyesimama kushoto), akitoa neno la
Shukurani baada ya futari aliyoandaa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa
viongozi wa madhehebu mbalimbali wa dini ya Kiislamu Ikulu jijini Dar es
salaam