ACCESS BANK YAWAKARIBISHA MPATE HUDUMA ZAKE NDANI YA VIWANJA VYA SABA SABA JIJINI DAR

 Wafanyakazi wa Access Benki wakitoa maelekezo kwa mteja aliyetembelea katika banda lao namba nne lililoko katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mteja akipata maelezo ya Kina kutoka kwa wafanyakazi wa Access Bank katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack akiongea na wafanyazi wa Access Bank ili kuelezea bidhaa na huduma wanazozitoa  katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack akifanya mahojiano na Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Muganyizi Bisheko na kueleza huduma wanazozitoa  katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Ambapo Bisheko alisema kuwa huduma zinazotolewa ndani ya banda lao ni ufunguaji wa akaunti kwa bei rahisi ya shilingi 1,000 huduma ya utoaji wa mikopo kwa wajasiliamali 
Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni ya Channel 10, Meshack (kushoto) akiendelea kufanya mahojiano na ofisa Huduma za Utoaji wa Mikopo, Mary (katikati). Pembeni ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa Access Bank, Muganyizi Bisheko.
Mtangazaji wa Azam Tv, Wasiwasi Mwabulambo akizungumza machache na mmoja ya wafanyakazi wa Access Bank mara baada ya kuwatembelea bandani kwao  katika maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
 Mtangazaji wa Azam Tv, Wasiwasi Mwabulambo akizungumza machache ndani ya banda la Access Bank mara baada ya kutembelea  katika banda lao lililopo kwenye maonyesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Wa pili kutoka kulia ni Afisa Masoko Mwandamizi wa benki hiyo, Muganyizi Bisheko akiwa pamoja na wafayakazi wenzake.
Wafanyakazi wa Acces Benki wakipata pozi mbele ya kamera ya Kajunason Blog.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post