Hatimaye mwili wa kijana huyo ukaonekana. |
Shughuli za kufukua kifusi katika eneo hilo ukaendelea . |
hatimaye mwili ukaopolewa toka katika kifusi. |
Hivi ndivyo vijana wa eneo hilo wakawa wamefanikisha kupatikana mwili wa mwenzao. |
Mwili wa kijana Shukuru Temu ukishushwa toka katika machimbo ya Rongoma . |
Wananchi katika kijiji cha Masaera wakiwa wamezunguka mwili wa marehemu Shukuru baada ya kufikishwa barabarani toka kwenye machimbo ya Rongoma. |