Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akisikiliza maelezo kutoka kwa mfanyakazi wa Kituo
cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Ekaeli Mbise baada ya kutembelea
banda la AICC
Ankal Muhidin Issa Michuzi mmiliki wa kampuni ya MICHUZI MEDIA GROUP
nae alihakikisha hatoki ndani ya maonesho ya Sabasaba bila kutembelea banda la
AICC. Hapa akisalimiana na wbaadhi ya wafanykazi wa AICC na Wizara ya mambo ya
ndani.
Wafanyakazi wa AICC na Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa katika picha ya pamoja na Mheshimiwa Rais
Kikwete baada ya Rais kutembelea banda la Wizara na AICC katika maonesho ya
KImataifa ya Biashara yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini
Dar es Salaam.