WAKAZI WA KIJIJI CHA KAKOI WILANI BABATI WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA MKUU WA WILAYA HIYO MHESHIMIWA HALID MANDIA KUKACHA MKUTANO WAO ANAYODAIWA KUITISHA YEYE AMBAPO INADAIWA ALIFIKA KATIKA OFISI YA KIJIJI NA BAADAE KUONDOKA BILA KUZUNGUMZA NA WANACHI WALIOMSUBIRI KWA ZAIDI YA MASAAKUMI
AKINAMAMA WAKIBUBUJIKWA NA MACHOZI HUKU WAKISHINDWA KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUTOKANA NA KITENDO CHA MKUU WA WILAYA YA BABATI KUINGIA MTINI NA KUWAACHA WANANCHI HAO WAKIENDELEA KUKUMBWA NA MATATIZO MBALIMBALI IKWEMO MGOGORO WA ARDHI PAMOJA NA USALAMA WA MAISHA YAO KUWA MASHAKANI KWA SABABU YA KUSHAMBULIWA NA WANYAMA WANAODAIWA KUTOROKA KUTOKA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA TARANGIRE