Baadhi ya waandihi wa habari mkoa wa Kilimanjaro wanaoshirki mafunzo ya Internet kwa waandishi wa habari wa mikoani yanayotolewa na MISA Tanzania kwa kushirikiana na VIKES. |
Mratibu wa Mafunzo ya Internet ,Andrew Marawiti akitoa ufafanuzi wa jambo wakati wa mafunzo hayo. |
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mafunzo kwa makini. |
Wengine somo lilionekana kuwa gumu kiasi ikawalazimu kutizama ukurasa mweupe katika Competer zao. |
Mmoja wa wakufunzi katika mafunzo hayo Seif Jigge akitoa maelezo kwa wanahabri wanaohudhuria mafunzo ya Internet yanayofanyika katika Chuo cha Ufundi VETA mkoa wa Kilimanjaro |
Baadhi ya washiriki katika mafunzo hayo. |
Darasa likiendelea. |
Kila mshiriki alikuwa na kazi ya kufanya kipindi chote cha mafunzo. |
Baada ya kujifunza kwa muda mrefu darasa lililazimika kusimama na kunyoosha mwili kidogo. |
Ukafika Muda wa chakula kwa wenzetu ambao hawako katika mfungo. |