Mkurugenzi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA,Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na wafanyakazi wa mamlaka hiyo (hawapo pichani) wakati wa kutimiza siku 360 ofisini. |
Baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi,MUWSA wakimsikiliza Mkurugenzi wa mamlaka hiyo(hayupo pichani) |
Meneja Fedha wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira mjini Moshi ,Grace Msiru akizungumzia mafanikio na changamoto katika siku 360 kwa idara yake ya fedha. |
Baadhi ya wafanyakazi wa MUWSA. |
Meneja Biashara wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi ,MUWSA ,John Ndetiko akizungumzia mafanikio na changamoto katika siku 360 kwa idara yake ya Biashara. |
Meneja utawala na rasilimali watu wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira Mjini Moshi,Michael Konyaki akizungumzia mafanikio na changamoto katika siku 360 kwa idara yake. |