Pichani
kulia ni Mgeni rasmi,Mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya pili,Mh,Ali Hassan
Mwinyi,Abdallah Ali Hassan Mwinyi kwenye hafla ya Iftari ilioandaliwa na
benki ya FNB,na kufanyika kwenye bustani ya Serena Hotel jijini Dar
hapo jana,anaefuatia kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa benki ya FNB,Ndugu
Dave Aitken akiwa na baadhi ya wageni waalikwa wengine.
Mgeni
rasmi Abdallah Ali Hassan Mwinyi sambamba na Mkurugenzi Mkuu wa benki
ya FNB,Ndugu Dave Aitken wakijumuika pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa
benki hiyo wakiwa pia na baadhi ya wateja wa benki ya FNB waliolikwa
kwenye hafla ya Iftari ilioandaliwa na
benki hiyo jana jioni katika bustani ya Serena Hotel jijini Dar
hapo jana.
Baadhi ya Wadau wa benki ya FNB wakiwa kwenye hafla ya Iftari.
Baadhi ya Wadau wa benki ya FNB wakiwa kwenye hafla ya Iftari.
Baadhi
ya wadau wa FNB Benki wakijadiliana jambo huku wakipata Iftari
iliyoandaliwa na benki hiyo maalum kwa wateja wao katika bustani ya
Serena hotel hapo jana.
Pichani
kulia ni Mgeni rasmi,Mtoto wa Rais Mstaafu awamu ya
pili,Mh.Ali Hassan Mwinyi,Bwa. Abdallah Ali Hassan Mwinyi akiongoza
wageni waalikwa kupata Iftari ya pamoja ilioandaliwa na benki ya
FNB,kwenye bustani ya
Serena Hotel jijini Dar hapo jana.
Mambo ya kupata Iftari ya pamoja ilioandaliwa na benki ya FNB.