Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa
ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow, Scotland,
kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi iliyofanyika
uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na Waziri wa Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe, Naibu Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na wadau wa
michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na wachezaji na viongozi wa timu ya
Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow,
Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi
iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe,
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na
wadau wa michezo.
Wakimsikiliza kwa makini Rais Kikwete ni wachezajina viongozi wa timu ya
Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow,
Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi
iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na kushuhudiwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe,
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe Juma Nkamia na
wadau wa michezo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wachezaji na viongozi wa timu ya
Taifa ya riadha inayoondoka kesho Julai 16, 2014 kwenda Glasgow,
Scotland, kwenye Michezo ya Jumuiya ya Madola kwenye hafla fupi ya
kukabidhi bendera iliyofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam na
kushuhudiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe
Bernand Membe, Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe
Juma Nkamia na wadau wa michezo.