NYALANDU ASHIRIKI HAFLA YA KUCHANGIA USTAWI WA MISITU KAMA VYANZO MUHIMU VYA MAJI BARANI AFRIKA JIJINI PENNSYLVANIA MAREKANI
bywoinde-
0
Waziri wa
Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) (kati) akiwa pamoja na
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa
Murtland (kulia) na Bw. John Bongiorno ambaye ni mdau katika sekta ya
maji aliyeshiriki katika hafla hiyo
Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Africa 6000 International Bi. Teresa Murtland
akizungumza katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo
muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa 6000
International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani.
Sehemu ya
waalikwa waliohudhuria halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama
vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi ya Africa
6000 International jana mjini Erie, Pennsylvania, Marekani
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (MB) akizungumza
katika halfa maalum ya kuchangia ustawi wa misitu kama vyanzo muhimu vya maji barani Afrika iliyoandaliwa na Taasisi
ya Africa 6000 International jana mjiniErie, Pennsylvania, Marekani