Waumini
wa dini ya kiislamu wakihitimisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani
wakiwa kwenye ibada ya swala ya Iddy el Fitry kwenye uwanja wa sheikh
Amri Kaluta Abeid jijini Arusha.
Sheikh
wa mkoa wa Arusha Shaban bin Jumaa akitoa hutuba ya Idd kwa waumini wa
dini ya kiislamu na kuwataka kudumisha amani na mshikamano miongoni mwa
waumini wa dini nyingine ilikuweka katika hali ya utlivu mkoa wa Arusha
ilikuweza kujiletea maendeleo endelevu kama mafungisho ya dini
yanavyowataka