RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA SRI LANKA, POLAND NA ROMANIA
bywoinde-
0
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Sri Lanka
nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Dkt Velupilai Kananathan kwenye sherehe fupi
zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam