MWENYEKITI WA KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE, LOWASA AKUTANA NA BALOZI WA UBELGIJI

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya kudumu ya mambo ya nje Mh Edward Lowassa akizungumza na balozi wa Ubelgiji Hapa nchini Koen Adam aliyekwenda kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Saalam. Walijadiliana masuala mbalimbali yakiwemo suala la mchakato wa katiba mpya,mzozo katika eneo la nchi za maziwa makuu pamoja na hali katika Umoja wa Ulaya.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post