Pichani kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya
Waziri Mkuu,Mh.Mary Nagu ambaye ndiye mgeni rasmi wa Kongamano la nne
laKitaifa la Makatibu Muhtasi Tanzania (TAPSEA),akizungumza jambo na Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa
TAPSEA wakati alipokuwa akiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako
Kongamano hilo linafanyika leo jijini Mwanza.
Pichani
kushoto ni Waziri wa Uweshaji na Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh.Mary
Nagu akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni
Mshauri wa Masuala ya Kisheria wa TAPSEA wakati alipokuwa akiwasili kwenye
ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo linafanyika leo jijini
Mwanza,pichani kati Mwenyekiti wa Makatibu Muhtasi Tanzania
(TAPSEA),Bi.Pilly Mpenda wakiwa wamezungukwa na washirki wengine mbalimbali
wakiwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo
linafanyika leo jijini Mwanza.
Ngoma ya
asili ya wasukuma ikipigwa kuwakaribisha washiriki mbalimbali waliokuwa
wakiendelea kuwasiliasubuhi hii kwenye kongamanno hilo jijini
Mwanza
Washiriki
mbalimbali wakiendelea kujiandikisha kwa ajili ya ushiriki wa kongamano
hilo
Mazungumzo ya utaratibu wa washiriki wa Kongamano hilo ukiendelea
kuwekwa sawa na waandaaji .
Waandaji
wa Kongamano hilo wakiendelea kujadiliana jambo
Washiriki
wa kongamano hilo wakiwa katika picha ya pamoja
Washirii
wa kongamano hilo wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa mkutano
huo.
Washiriki
wa Kongamano hilo wakitabasamu mbele ya Camera ya Globu ya
Jamiii
Wadau wa
TAPSEA wakiwa katika picha ya pamoja
Washiriki
wakendelea kuwasili kwenye ufukwe wa hotel ya Malaika,ambako Kongamano hilo
linafanyika leo jijini Mwanza.PICHA NA MICHUZI MEDIA
GROUP-MWANZA
.