Kampuni ya Green Waste Pro Ltd yaadhimisha sherehe ya kutimiza miaka miwili katika ukumbi wa Makumbusho ya Taifa‏

1
Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo kwenye sherehe ya kutimiza miaka miwili kwa kampuni hii ya kufanya usafi katika jiji la Dar es salaam hususani kwenye manispaa ya Ilala. 2 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kwenye ukumbi wa makumbusho siku ijumaa tarehe 27, 2014. 3 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akizungumza jambo kwenye sherehe ya maadhimisho ya miaka miwili ya Kampuni ya Green WastePro Ltd kushoto ni Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd bwana Mark Anthony Shayo na kulia ni afisa Mazingira katika manispaa ya Ilala Mr. Mapunda. 4 Ndg. Said Mazingira wa Kampuni ya Green WastrePro Ltd, akisoma risala kwa mgeni rasmi. 5 Mkurugenzi wa Green WastePro Ltd Ndg. Mark Anthony Shayo akizungumza jambo na mgeni rasmi Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy. 6 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Bi. Anna Emili kama mfanyakazi bora. 7 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Bi. Mwajabu Said kama mfanyakazi bora. 8 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kheri Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Bi. Sia Ulio kama mfanyakazi bora. 9 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Bi. Fatma Salehe kama mfanyakazi bora. 10 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Ndg. Hamza Saidi kama mfanyakazi bora. 11 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd Bi. Hassan Juma kama mfanyakazi bora. 12 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Ndg. Kelvin Jonas kama mfanyakazi bora. 13 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Ndg. Sudi Juma kama mfanyakazi bora. 14 Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Ndg. Salum Juma kama mfanyakazi bora. 15 Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Bi. Marry Baraka kama mfanyakazi bora. 16 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Mh. Kessy akimkabidhi cheti mfanyakazi wa Green WastePro Ltd, Bi. Carolina Ilomo kama mfanyakazi bora. 16a Wafanyakazi wakimsikiliza mgeni rasmi. 16b Ulifika muda wa kufungua Shampeni kwa ajili ya kusherekea miaka miwili ya Green WastePro Ltd. 16c Wafanyakazi wakapa kuonja kidogo Shampeni. 17 Picha ya Pamoja kati ya Mh Naibu meya na Mkurugenzi Mkuu wa Waste Pro Ltd. 18 Wafanyakazi wa Waste Pro Ltd wkipata picha ya pamoja na mgeni rasmi. 19 Wafanyakazi bora wa mwaka wakipata picha ya pamoja na mgeni rasmi. 20 21 Picha ya pamoja ya wafanyakazi wote wa Kampuni ya Green WastePro ltd. 22 Mgeni Rasmi akichukua chakula kilichoandaliwa maalumu kwa ajili ya sherehe ya kutimiza miaka miwili ya kampuni ya usafi iliyopewa zabuni ya kusafisha Manispaa ya Ilala Green WastePro Ltd. 23 Mkurugenzi Mkuu wa Green WastePro Ltd, Ndg. Mark Anthony Shayo akichukua chakula. 24 Mkurugenzi Mkuu wa Green WastePro Ltd, Ndg. Mark Anthony Shayo. 25 Na Muziki ukafunguliwa wafanyakazi wote wakajiunga pamoja kufurahia miaka miwili ya kampuni yao. 26 Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Green WastePro Ltd, Ndg. Mark Anthony Shayo akiserebuka na wafanyakazi wenzake. 27 Ni furaha kwa kila mmoja kwa kutimiza miaka miwili ya kampuni yenye mafanikio. 28 29 Na hawa ndio walikuwa wafanyakazi waliotia fora kwa kucheza miondoko tofauti kwa madaha.

Post a Comment

unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia

Previous Post Next Post