Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa mkutano wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii Dkt Mary Nagu Waziri wan chi Ofisi ya waziri Mkuu akiwa na Rais wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii Prof Pekka Puska kutoka Finland, Prof David Mwakyusa (Mb) na Makamu wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii na Mkurugenzi wa taasisi ya Utafiti wa magonjwa ya binadamu(NimR) Dkt .Mwele Malecela |
Makamu
wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii na Mkurugenzi wa
taasisi ya Utafiti wa magonjwa ya binadamu(NIMR) Dkt. Mwele Malecela
akitoa salam za ukaribisho kwenye ufunguzi wa Mkutano huo tarehe 30
septemba 2013.
Mgeni
rasmi pamoja na rais na makamu wa Chama cha Kimataifa cha Taasisi za Afya
ya jamii wakirusha njiwa kama ishara ya amani na mshikamano wa
taasisi za afya ya jamii Duniani nje ya Hoteli ya kimataifa ya ngurdoto jijini arusha.
Mgeni
rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa Mkutano wa Chama
cha Kimataifa cha Taasisi za Afya ya jamii unaojumuisha wajumbe zaidi
ya 100 kutoka nchi 35 duniani,katika Hoteli ya Ngurdoto,Jijini
Arusha.Waliokaa dkt Mary Nagu, Mkurugenzi wa taasisi ya Utafiti wa
magonjwa ya binadamu(NimR) Dkt. Mwele Malecela.