Baadhi ya Wanaharakati wakiwa katika Matembezi ya siku ya Tembo Duniani
Ma
elfu ya Wananchi kutoka Arusha pamoja na wadau wengine kutoka Mikoa na
nchi mbalimbali wakiwa katika Matembezi ya siku ya Tembo Duniani yaliyo
Fanyika Jijini Arusha.
Hawa ni Watoto Shupavu kabisa waliojitolea Mstari wa mbele katika Matembezi ya Tembo.
Mheshimiwa
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Khamis Kagasheki akisaini katika moja la bango
la siku ya Tembo , ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu
Maandamano yakiwa yanaendelea
Wa
kwanza kutoka kushoto ni Mr. Peter ambaye ndiye alikuwa katika kamati
kuu ya Maandalizi ya Siku ya Matembezi ya Tembo Duniani, na pia Makamu
mwenyekiti wa Tanzania Association of Tours operators akiwa katika
matembezi hayo
Mheshimiwa
Waziri wa Maliasili na UtaliiMhe. Kagasheki akiongoza Ma elfu ya watu
wakiingia katika viwanja vya AICC ambapo ndipo ilikuwa kilele cha
Matembezi hayo
Afisa
Mtendaji wa Chama cha Wakala wa Utalii TATO Ndugu Cyril Akko akitoa
Maneno machache kabla ya ufunguzi Rasmi wa Kilele cha Matembezi ya Tembo
Duniani.
Meza
kuu wakiongozwa na Mhe.Waziri wa Maliasili na Utalii Kagasheki
wa nne kutoka kushoto wakiwa wamesimama kwa mda wa dakika moja
kuwakumbuka Waliokufa katika Tukio la Westgate Kenya pamoja na Tembo
walio uliwa .
Mc akiwa anaanza Tukio rasmi kwa kuwakaribisha viongozi mbalimbali kwa ajili ya Kutoa salam zao na Risala
Dr.
Alfred kikoti Akitoa Mada yake juu ya Idadi ya Tembo ambao wamebakia ,
pia kuelezea kutokomeza kwa Biashara haramu ya uuzaji wa uuzaji wa Meno
ya Tembo, na kusisitiza Tanzania inategemea Tembo katika Utalii