Ticker

6/recent/ticker-posts

SHULE YA SEKONDARI NG'UNI KUKAMILISHA KIDATO CHA TANO NA SITA

Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya sekondari ya Ng'uni wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya,kata ya Masama kati na kijiji cha Ng'uni katika mahafali ya mwaka 2012

MWENYEKITI WA KIJIJI CHA NGUNI KILICHOPO WILAYANI HAI PAMOJA NA UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI NG’UNI, WANAWAALIKA WANAKIJIJI WOTE PAMOJA NA WAZAZI WA WANAFUNZI WANAOSOMA KATIKA  SHULE YA SEKONDARI NG’UNI,WANAFUNZI WOTE WALIOSOMA SHULE HIYO NA WANANCHI WOTE KWA UJUMLA KWENYE HARAMBEE YA UJENZI WA KIDATO CHA TANO NA SITA ITAKAYOFANYIKA SHULENI HAPO TAREHE 30/10/2013
AIDHA MWENYEKITI WA KIJIJI CHA NG’UNI ANAWAALIKA WANA NG’UNI WOTE WANAOISHI JIJIJNI  DAR-ES-SALAAM KWENYE KIKAO CHA KUZUNGUMZIA MAENDELEO YA NG’UNI NA WILAYA YA HAI KWA UJUMLA  KITAKACHOFANYIKA KATIKA HOTEL YA TAMAL ILIYOPO MWENGE DAR-ES-SALAAM SAA KUMI JIONI YA JUMAMOSI YA TAREHE 20/10/2013 AMBAPO MGENI RASMI ATAKUWA MKUU WA WILAYA YA HAI,MHESHIMIWA NOVATUS MAKUNGA
ATAKAYESIKIA TANGAZO HILI AMJULISHE NA MWENZAKE.KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA PROFESA JEHOVANES URASSA KWA SIMU 0754593168

Post a Comment

0 Comments