Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Balozi wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza
muda wake, Alfonso Lenhardt, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar
es Salaam, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi
wa Marekani nchini Tanzania, aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt,
aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa
ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na Balozi wa Tanzania, nchini Addis Ababa, Ethiopia, Naimi Aziz, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya mazungumzo.

akisalimiana na Balozi wa Oman nchini Tanzania, Yahya Moosa
Bakari, aliyefika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika mazungumo na Balozi wa Oman nchini Tanzania,
Yahya Moosa Bakari, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es
Salaam, kwa ajili ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini.Picha na OMR