Mama akiwa anasubiri wanunuzi waje wanunue maji ambapo anauza maji ndogo elfu mbli
mfanyabiashara akiendelea kuchoma nyama kwa ajili ya kutoa huduma ambapo kilo ya nyama inauzwa elfu kumi
apa watu wamekaa adi kwenye keria wanafata kikombe cha babu
hali alisi ya usafiri loliondo hii foleni yote inaenda kwa babu
0 Comments:
Post a Comment
unashauriwa kutoa maoni muda na wakati wowote na kama unahabari yeyote unaruhusiwa kututumia