Ticker

6/recent/ticker-posts

CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU IRINGA (IRFA) KUJENGA UWANJA WA KISASA

kulia  ni mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu  mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava akiwa na baadhi ya viongozi wa uwanja wa samora.

na fredy mgunda,iringa

Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa (IRFA) kiko mbioni kujenga uwanja wake wa kisasa utakaosaidia kuendeshea ligi mbalimbali zikiwemo ligi za kimataifa  hali itakayosaidia  kuinua soka la mkoa huo .

Akizungumza ofisini kwake mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu  mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava alisema wameamua kujenga uwanja wao  ili kuepukana na adha wanayopata kutokana na kukosa sehemu ya kuendeshea ligi  mbalimbali .

Alisema tayari wameshapata eneo la hekari 14 katika eneo la kitwiru ndani ya manispaa ya Iringa  na sasa kinachosubiriwa ni kumaliza mazungumzo kati ya chama hicho na manispa ya Iringa ili kuweza kumilikishwa eneo hilo ili liwe mali yao kabisa tofauti na apo awali ambao manispaa hiyo ilikuwa inataka kuingia nao ubia

“Tayari hili swala liko katika hatua za mwisho na tayari tumesha fanya mazungumzo tunataka  tujenge  uwanja wetu wenyewe wa kisasa ambao tunaweza kucheza mechi za kimataifa  kwani tumekuwa tukipata tabu ya viwanja vya kuchezea na hii imechangia kwa kiasi kikubwa kuuwa soka la mkoa wetu ”alisema Kuyava

Alisema wanasubiri majibu ya maombi waliyopeleka katika manispaa hiyo ili kuweza kupunguziwa bei li kuanza mchakato wa kulipa fidia kwa wamiliki wa maeneo hayo ili waanze mchakato wa uwanja huo wa kisasa .

Alisema kuwa mara nyingi timu zimekuwa hazi pati kitu  wanapotumia viwanja vya watu  kwani asilimia 16 za mapato yanayopatikana kutokana na kingilio huchukuliwa na wamilika  wa kiwanja na asilimia ndogo inabaki ndio zinagawanywa katika maeno mengine na kujikuta timu hazinufaiki na chochote .

Alisema kuwa hapo awali walikuwa wakitumia uwanja wa samora ambao bado uko katika matengenezo tena ya kusuasu kwa kuwa mpaka sasa bado wanadai kusubiri nyasi za kupanda jambo litakalorudisha michezo nyuma endapo hawatakuwa na maono ya kuwa na kiwanja chao wenyewe .

Kwa upande wa wadau wa soka mkoa wa Iringa Ally salehe ambaye pia ni shabiki wa timu ya lipuli anasema kuwa endapo juhudi za makusudi zitafanyika na kufanikisha ujenzi wa uwanja huo basi ni dhahiri kuwa soka la mkoa wa iringa litapanda  kwa kiasi kikubwa .

Alisema kuwa katika mkoa wa Iringa kuna vipaji vingi vya michezo  ikiwemo wachezaji wa mpira wa miguu lakini wamekuwa wakikosa sehemu za kufanyia mazoezi ili kukuza vipaji vyao  hivyo kujengwa kwa uwanja huo wa kisasa utafungua fursa za ajira kwa vijana wengi.
span style="font-family: "georgia" , "times new roman" , serif;">
 
KAWAIDA CHAMA CHA MPIRA WA MIGUU IRINGA (IRFA) KUJENGA UWANJA WA KISASA kulia ni mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava akiwa na baadhi ya viongozi wa uwanja wa samora. NAFREDY MGUNDA,IRINGA Chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa (IRFA) kiko mbioni kujenga uwanja wake wa kisasa utakaosaidia kuendeshea ligi mbalimbali zikiwemo ligi za kimataifa hali itakayosaidia kuinua soka la mkoa huo . Akizungumza ofisini kwake mwenyekiti wa chama cha mpira wa miguu mkoa wa Iringa Cyprian Kuyava alisema wameamua kujenga uwanja wao ili kuepukana na adha wanayopata kutokana na kukosa sehemu ya kuendeshea ligi mbalimbali . Alisema tayari wameshapata eneo la hekari 14 katika eneo la kitwiru ndani ya manispaa ya Iringa na sasa kinachosubiriwa ni kumaliza mazungumzo kati ya chama hicho na manispa ya Iringa ili kuweza kumilikishwa eneo hilo ili liwe mali yao kabisa tofauti na apo awali ambao manispaa hiyo ilikuwa inataka kuingia nao ubia “Tayari hili swala liko katika hatua za mwisho na tayari tumesha fanya mazungumzo tunataka tujenge uwanja wetu wenyewe wa kisasa ambao tunaweza kucheza mechi za kimataifa kwani tumekuwa tukipata tabu ya viwanja vya kuchezea na hii imechangia kwa kiasi kikubwa kuuwa soka la mkoa wetu ”alisema Kuyava Alisema wanasubiri majibu ya maombi waliyopeleka katika manispaa hiyo ili kuweza kupunguziwa bei li kuanza mchakato wa kulipa fidia kwa wamiliki wa maeneo hayo ili waanze mchakato wa uwanja huo wa kisasa . Alisema kuwa mara nyingi timu zimekuwa hazi pati kitu wanapotumia viwanja vya watu kwani asilimia 16 za mapato yanayopatikana kutokana na kingilio huchukuliwa na wamilika wa kiwanja na asilimia ndogo inabaki ndio zinagawanywa katika maeno mengine na kujikuta timu hazinufaiki na chochote . Alisema kuwa hapo awali walikuwa wakitumia uwanja wa samora ambao bado uko katika matengenezo tena ya kusuasu kwa kuwa mpaka sasa bado wanadai kusubiri nyasi za kupanda jambo litakalorudisha michezo nyuma endapo hawatakuwa na maono ya kuwa na kiwanja chao wenyewe . Kwa upande wa wadau wa soka mkoa wa Iringa Ally salehe ambaye pia ni shabiki wa timu ya lipuli anasema kuwa endapo juhudi za makusudi zitafanyika na kufanikisha ujenzi wa uwanja huo basi ni dhahiri kuwa soka la mkoa wa iringa litapanda kwa kiasi kikubwa . Alisema kuwa katika mkoa wa Iringa kuna vipaji vingi vya michezo ikiwemo wachezaji wa mpira wa miguu lakini wamekuwa wakikosa sehemu za kufanyia mazoezi ili kukuza vipaji vyao hivyo kujengwa kwa uwanja huo wa kisasa utafungua fursa za ajira kwa vijana wengi. woinde shizza 11 Feb (1 day ago) to me Translate message Turn off for: Swahili ---------- Forwarded message ---------- From: fredy mgunda Date: Wed, 10 Feb 2016 23:58:31 -0800 Subject: MSAADA TUTANI To: BINAGI MEDIA GROUP , "to: avila kakingo" , Emmanuel Shilatu , Mallya Michael , omar swai , Fredrick Bundala , Dickson Zedekia , Sherehe Yetu , Migodela , RAHEL PALLANGYO , Daniel Mbega , Mubelwa Bandio , Judy Mwaheleja , Kadama Malunde , Vbusiness ITSolutions , ANDREA NGOBOLE , info@northmarablog.com, Rhevan Studio , info@tonemg.com, Mbeya Yetu , John Kitime , Mtangazaji Maduhu , Elihuruma Chao , abdulhaigadsi@hotmail.com, Rashidi Juma , Ali Mwambola , Othman Michuzi , Pamela Mollel , emmanuel filbert , della.media@ymail.com, fred@bongos.com, lucyg14@yahoo.com, Mohamed Ramadhani , Emanuel Madafa , Mkala Fundikira , Sophia Mbeyu , msomisi.mbenna@solutionblocks.com, Ally Shaaban , Sonda Sondacom , Lindi Yetu , Ayoub Mzee , Faustine Ruta , Matukio 360 , Woinde Shizza , Mkala Fundikira , Jamvi la Habari Tanzania , Aloyson Jr , King Jofa , Bumi Musese , sayi manyanda , Khalfan Mlulu , assenga oscar , info@mabadiliko.co.tz, "fadhiliathumani85@gmail.com" , "fkatulanda@gmail.com" , Dixon Busagaga , Gadiola Emanuel , Arden Kitomari , JOHN MPEKUZI , "jacksonjuve@yahoo.com" , Alfred Mlonganile , Elizabeth Luanda , Evarist Chahali , Kassim Rajab , Henry Mdimu , Henry Mdimu , mwaibaledon@yahoo.com, bakaringamba@yahoo.com, Prosper Minja , Daniel Chongolo , PROSPER KWIGIZE , deusdedit vallery moshi , Patrick Eusebio , Simon Kitururu , Abood Msuni , Aidan Leonce , Blog Za Ugiliki , Bongo celebrity , bongo picha , Bongo Swaggz , bongo5 , Biche , Chinga one , Chris Bennet , Cyprian Lubuva , De Masho , Issaya Lupogo , Kambi Mbwana , Kelvin Manaseh , Kenny Mziray , La Princessa , reala , Safari DC , Samwel Urassa , Sara , sisty massawe , Sporah Show , tegemea easser , TOLLYz KITCHEN , Udaku Specially , uledz son , unique models , vipaji blogspot , Waziri Dello , william malecela , "Gazeti ,, Cathbert Kajuna ,, francisgodwin2004@yahoo.com,, woindeshizza@yahoo.com,, pamela.mollel@yahoo.com,, william malecela ,, Henry Mdimu ,, Kambi Mbwana ,, mwaikenda@gmail.com,, rmziwanda@gmail.com,, Alex Kassuwi ,, Sunday Shomari ,, Swahili Villa ,, Bongo Clan ,, fredynjeje@live.com,, Josephat Lukaza ,, Josephat.lukaza@yahoo.com,, JACKSON AUDIFACE ,, Uwazi Publishers ,, Adam Mzee ,, kiishweko orton ,, Abdulwakil Saiboko ,, Bernard" , Arnold Balati , Arnold Balati , Arnold Kayanda , ASILI YETU TANZANIA , Beda Msimbe , MUHIDIN MICHUZI , Gody Godwin Unstoppablé , woinde shizza , seif semmy , JAFE JACKSON , vicentkigosi@gmail.com, sek david , "wanabidii@googlegroups.com" , mjengwablog.com@gmail.com, Cassius Rusticus , Mzee Maganga , Abubakar Abdullah , Dickson Mkama , Geofrey Adroph , Blog za mikoani , amani masue , Subi , Jestina George , Luke Joe , muhidin mafoto , mbeyayetu@gmail.com, Jane John , Bashir Nkoromo , DINA ZUBEIRY , Mroki Mroki , Chemi Kadete , "dina_marios@yahoo.com" , Jerome Risasi , Abby Mrisho , John Badi , John Badi , Joachim Mushi , Ahmad Michuzi , "la Mtandao, Gazeti" , woinde shizza , "Gazeti ,, Cathbert Kajuna ,, francisgodwin2004@yahoo.com,, woindeshizza@yahoo.com,, pamela.mollel@yahoo.com,, william malecela ,, Henry Mdimu ,, Kambi Mbwana ,, mwaikenda@gmail.com,, rmziwanda@gmail.com,, Alex Kassuwi ,, Sunday Shomari ,, Swahili Villa ,, Bongo Clan ,, fredynjeje@live.com,, Josephat Lukaza ,, Josephat.lukaza@yahoo.com,, JACKSON AUDIFACE ,, Uwazi Publishers ,, Adam Mzee ,, kiishweko orton ,, Abdulwakil Saiboko ,, Bernard" , rmziwanda regina , Alex Kassuwi , Sunday Shomari , Swahili Villa , Bongo Clan , Fredy Njeje , Josephat Lukaza , "Gazeti ,, Cathbert Kajuna ,, francisgodwin2004@yahoo.com,, woindeshizza@yahoo.com,, pamela.mollel@yahoo.com,, william malecela ,, Henry Mdimu ,, Kambi Mbwana ,, mwaikenda@gmail.com,, rmziwanda@gmail.com,, Alex Kassuwi ,, Sunday Shomari ,, Swahili Villa ,, Bongo Clan ,, fredynjeje@live.com,, Josephat Lukaza ,, Josephat.lukaza@yahoo.com,, JACKSON AUDIFACE ,, Uwazi Publishers ,, Adam Mzee ,, kiishweko orton ,, Abdulwakil Saiboko ,, Bernard" , JACKSON AUDIFACE , Uwazi Publishers , Adam Mzee , kiishweko orton , Abdulwakil Saiboko , Bernard Rwebangira , Robert Okanda , Edwin Moshi , Metty Magese , haki ngowi , Said Powa , John Bukuku , Deogratius Rweyunga , Millard Ayo , millard ayo , ally SALUM , Andrew Chale , Salma Msangi , Abby Hass , "abbyd762000@yahoo.com" , "aboubakarsadik@ymail.com" , AJUNA JESSE , "akasiga@gmail.com" , "aloysazia@yahoo.com" , "ankomo25@yahoo.com" , "annatoi1@yahoo.co.uk" , "anu.sanga@yahoo.com" , Faraji Mfinanga , john sambila , harakatiza bongo , ajittz@yahoo.com, Krantz Mwantepele , "barakamaulid@yahoo.com" , tony man , Maisha Ambangile , Wilfred Mushi , Evance Ngingo , antonysiame74@yahoo.com, "sajmdoe@yahoo.com" , Juma Kapipi , Tumainiel Seria , Adelina Lweramula , fakihimusa@yahoo.co.uk, lucnews@yahoo.com, sheddymc , mteganifmcommunity@ymail.com, khadija jigge , Borry Mbaraka , mpandafm@gmail.com, mazingirafm@rocketmail.com, Damas Missanga , ayub kalufya , Uvinza FM , John Mude , jabdali2004@yahoo.com, "pambazukofm@gmail.com" , makunguteresia@yahoo.com, RIZIKI LESUYA , Dotto Mwaibale , "mmtazamo@gmail.com" , luckypreny@yahoo.com, Kassim Rajab , Friday Simbaya , simon victor , othman maulid , "Mr.Verbs Mr.Verbs" , Khamisi Mussa , Jacob Mugini , Maggid Mjengwa , Gordon Kalulunga Click here to Reply or Forward 2.53 GB (16%) of 15 GB used Manage Terms - Privacy Last account activity: 23 hours ago Details 221 more fredy mgunda Show details

Post a Comment

0 Comments